Leviticus 23:13

13 apamoja na sadaka yake ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa
Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili.
za unga laini uliochanganywa na mafuta, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto, harufu nzuri ya kupendeza, na sadaka yake ya kinywaji ya robo ya hini
Robo ya hini ni sawa na lita moja.
ya divai.
Copyright information for SwhKC